AN-NUUR 
Na.170 Jamadul Akhir 1419, Oktoba 9 - 15, 1998 
 
Home Links Islam Tanzania Matoleo yaliyopita
 
 
Watanzania waanzisha Baraza la Waislamu Marekani
 

Na Mwandishi Wetu 

WATANZANIA waishio Marekani wameanzisha Baraza la Waislamu liitwalo Tanzania Muslim Council (TAMCO). 

Baraza hilo lenye makao yake makuu jijini Washington DC lilifanya uchaguzi wake mkuu wa kwanza Mei 10, 1998 na wafuatao wamechaguliwa kuliongoza Baraza kwa muda wa miaka miwili: 

Haj Yusuf M. Kalala – President (301-918-9062) 
Ms. Fatma S. Rashid – Secretary (301-439-0650) 
Mrs. Umi H. Hamza – Asst. Secretary ( 301-270-5944) 
Mr. Seif A. Mohammed – Treasurer (301-982-1614) 
Mrs. Sitti K. Matimba – Asst. Treasurer (202-638-1892) 
Mr. Abdallah Jae Ibrahim – Board Member (301-650-9108) 
Mr. Omar Mwinyimvua – Board Member (301-853-8833) 
Mr. Farid H. Mohammed – Board Member (202-265-3464) 
Mr. Nassor A. Basalama – Board Member (301-853- 8833) 

Kwa wale wanaotaka maelezo zaidi kuhusu Baraza hilo, wanaombwa wawasiliane na Rais wa Baraza kupitia anwani ifutayo: 

Tanzania Muslim Council 
7105 Decatur Street, 
Hyattsvile, 
Maryland 20784. 
USA 
 
Juu 
 

YALIYOMO 
 
 
TAHARIRI  
Tutaendelea kudhalilishwa mpaka lini ?  

Waislamu wasisitiza: Nyumba ya Waziri Mkuu ni ya Waislamu  
Na Mwandishi Wetu  

Kuchomwa nyumba za wananchi  
Na Mwandishi wetu  

Maoni Yetu:  
Maisha ya Mtanzania yanapokosa thamani  

Nguruwe marufuku Kinondoni – Tume  
Na Kassim Juma  

Watanzania waanzisha Baraza la Waislamu Marekani  
Na Mwandishi Wetu  

Wanawake Hai wamtaka Rais azungumzie mauaji ya Mwembechai  
Na Mwandishi Wetu  

‘Serikali haiwezi kuzuia rushwa’  
Na Kassim Msuya  

Makala ya Kimataifa  
Nani gaidi: Slobodan Milosovic au Usama bin Laden  
Na Mwandishi Wetu  

Afghanistan washindi dhidi ya uvamizi karne zote  
Na Faiza bint Abubaka  

MAKALA:  
Demokrasia ya rushwa !  
Na Mwapwani Mohamed  

Tujikwamue na janga la utwaghuti  
Na I. Kikong’ona  

MAONI:  
Nini Jihad na nani Mujahidina ?  

MAKALA:  
Marekani ni magaidi wa haki za binadamu  
Na MUSSA ALLY  

Tufuate Uislamu kwa vitendo na siyo kwa maneno -2  
Mwandishi: Maalim Ali Bassaleh  

Tusihalalishe mauaji ya raia kwa kisingizio cha ‘wananchi wenye hasira’  
Na Mwandishi Wetu  

Historia ya sayansi na tiba  
Na Dk. Amur A.A.  

Msiwageuze watoto ombaomba  
Na H.E. Omar  

MAKALA YA JAMII:  
Profesa Malise Kaisi acha uzushi dhidi ya Mtume Muhammad  

Sensa ya majaribio: Wananchi watofautiana na serikali  
Na Rajab Rajab - Morogoro  

Uislamu ulivyoingia Zanzibar -3  

Mwembechai wageuka Hame, Bado walindwa na polisi  
Na Badru Kimwaga  

Waislamu Moro waendelea kusaidia wagonjwa  
Na Rajab Rajab - Morogoro  

Mjadala wa Katiba ya Shirikisho kuzinduliwa Dar Jumapili  
Na Mohamed Othman  

Walimu wa dini Tanga wapokea Baiskeli  
Na Abu Said  

Mafundisho ya Quran  
Kutoa katika njia ya Allah: Al-Baqarah aya  264  

Barua za wasomaji  

Masomo ya dini ya Kiislam  

Chakula na Lishe  
Vitu vinavyoweza kuwemo katika vyakula  

 

   Kutoa maoni yako kuhusu ukarasa huu: Bonyeza hapa
Au
Andika barua  kwa: webmaster@islamtz.org
 
Home Links Islam Tanzania Matoleo yaliyopita