AN-NUUR  Na.174 Rajab 1419, Novemba 6 - 12, 1998 
 
 
Home Links Islam Tanzania Matoleo yaliyopita
 
TAASISI YA KIISLAMU YA LUGHA
Uchunguzi uliofanywa umeonyesha kuwa vijana wetu hawafanyi vizuri mashuleni kwa vile hawana msingi mzuri wa lugha zinazotumika kufundishia. Baada ya majaribio kuonyesha uwezekano mkubwa wa kuwasaidia vijana, dhana ya kuanzisha Taasisi imekuja. Na imeanzishwa. Tunatoa huduma zifuatazo: 

1. Kozi ya lugha kwa vijana wa darasa la tano hadi la saba (miezi mitatu) 

2. Kozi ya lugha kwa vijana wa Form three hadi form four (miezi mitatu) 

3. Kozi ya Kiingereza kwa Waislamu wanaopenda kufahamu au kujiendeleza katika lugha hii (miezi mitatu) 

4. Tuition ya Kiingereza kwa vijana wa form five na six (A- Level) (miezi mitatu) 

5. English Therapy (msasa wa Kiingereza kwa wenye matatizo ya "broken English" (mwezi mmoja) 

Fomu za kujiunga na kozi unayohitaji katika hizo zinapatikana katika vituo vifuatavyo kwa bei ya shilingi 1000/= 

1. Ofisi ya AN-NUUR (karibu na Msikiti wa Mtoro) 

2. Ofisi ya DUMT (Chuo Kikuu DSM) 

3. Kwa Ustadh Shaaban B. Omari (Ubungo) 

Maelezo yote muhimu yatapatikana kwenye fomu hizo. 

WAHI NAFASI MAPEMA
 
Mwisho wa kujiandikisha ni 
tarehe 15/11/1998.
 
Mwalimu Mratibu
SHAABAN B. OMARI

UBUNGO ISLAMIC HIGH SCHOOL
 
HITAJIO LA MSIKITI

Kutokana na kukua kwa jamii ya shule ya sekondari ya Kiislamu ya Ubungo Msikiti wetu umekuwa mdogo mno kiasi cha kuwafanya Waislamu kuswali kwa kwa zamu. 

Hivyo tunakaribisha sadaka za Waislamu ili tuweze kusimamisha Msikiti unaokidhi haja. 

Msikiti unaokusudiwa kujengwa utajumuishwa na ukumbi wa mikutano. 

Kwa mawasiliano tumia simu Na: 451412 au 450403 Dar es Salaam. 

  

Wabilah Tawfiq
MKUU WA SHULE 

Juu 
 

YALIYOMO 
 
 
TAHARIRI  
Tuacheni na njaa yetu msituongezee silaha 

Serikali yakumbushwa kujiunga OIC 
Na Mwandishi wetu 

Polisi walizingira nyumba yangu usiku wa manane - Sheikh Mbukuzi 

Wafungwa waomba Futari na Vikoi 

Macho ya shutuma 
Na Abu Halima Sa Changwa 

Hoja pofu 
Na Abu Halima Sa Changwa 

Tafuteni ufalme wa kisiasa 

Ubaguzi katika mfumo wa elimu nchini: Chuo Kikuu chasikia kilio cha wanawake 

'Vichupi' vya nini Kimiti? 
Na. Said Rajab 

Mjadala wa Katiba na haki za Waislamu 
Na Masoud Mohammed Mbogo 

Mdahalo kati ya Waislamu na Wakristo- 3 
Na Nandenga wa Mkomidachi 

Waliochukuliwa utumwa Uarabuni 
Na Hassan Omar 

Madrasatul Maamury Islamiya 

Teknologia: Jifunze Kuunganisha Kompyuta (4) 
Na Hassan Omar 

Kuweni wabunifu muinue taaluma - Wito 

TVZ na kipindi cha 'Wasemavyo' 

Kesi ya Waislamu Mwembechai: Mashahidi washindwa  

Wanyimwa fursa ya kuswali Ijumaa Mwanza 

Shule ya Bakwata yafungiwa Tanga 

Mafunzo ya Qur'an  
Shetani anawaogopesha wenye mali kutoa 

Barua za wasomaji  

Masomo ya dini ya Kiislam  

Chakula na lishe 

Mashairi 

Matangazo 
 

   Kutoa maoni yako kuhusu ukarasa huu: Bonyeza hapa
Au
Andika barua  kwa: webmaster@islamtz.org
 
Home Links Islam Tanzania Matoleo yaliyopita