AN-NUUR 
Na.185 Shawwal 1419, Januari 29 - Februari 4 , 1998 
 
Home Links Islam Tanzania Matoleo yaliyopita
 
Mjue Usama bin Ladin -2

Katika sehemu ya kwanza, wiki iliyopita, tulichapisha wasifu wa Bw. Usama na sehemu ya mahojiano yake yaliyochapishwa katika gazeti la Nida’ul Islam, Toleo la 15, Oktoba - Novemba 1996 (http://www.islam.org.au). Katika mahojiano hayo, Bin Ladin aliishutmu vikali serikali ya Saud Arabia kwa kung’ang’ania madaraka, kuwabana wanazuoni waadilifu na pia wananchi kwa ujumla. Aidha mwanaharakati huyu alizichambua siasa za Saudia kuhusiana na ulimwengu wa Kiislamu. 

Leo, alhamdulillah, tunaendelea na sehemu ya pili ya mahojiano hayo ambapo Bw. Usama anaubainisha ubabe wa Marekani dhidi ya Waislamu na, kisha, anatoa wito kwa Waislamu ulimwenguni kote kuukumbuka wajibu wao wa kidini unaowataka kuunganisha nguvu zao kumkabili dhalimu huyu, Marekani.  

Mwisho wa mahojiano tumetoa mambo matano ambayo tumeyapata (yatokanayo) katika mahojiano haya na tunadhani ni vizuri Waislamu tukayatia katika nyoyo zetu. 

Sasa endelea ... 

Mapambano kati ya harakati za Kiislamu na utawala kibaraka wa Saudia yameweka katika historia mageuzi makubwa kufuatia mashambulizi ya hivi karibuni [1996] dhidi ya vituo [vya kijeshi] vya Marekani, [ambaye ni] mvamizi. Je, [katika Saudia] mashambulizi haya yalitoa picha gani juu ya msuguano wa ndani ya nchi yenyewe, na ni vipi [mashambulizi haya] yaliathiri uhusiano kati ya Saudia na Marekani? 

[Naam] Kulikuwa na athari kubwa kufuatia ile milipuko miwili iliyotokea Riyadh, [na zilikuwa ni] athari za ndani na za nje ya nchi. Muhimu zaidi katika athari hizo ni vile wananchi kupata kujua taathira ya uvamizi wa Mareakani katika nchi yenye misikiti miwili mitakatifu na pia [kumbe] kauli za serikali [ya Saudia] si chochote bali ni matashi ya wavamizi wa Kimarekani. 

Hivyo wananchi wakawa hadhari kuwa matatizo yao makubwa yanasababishwa na wavamizi wa kimarekani na vibaraka wao katika serikali ya Saudia, iwe ni kwa mrengo wa kidini au kwa mrengo wa kidunia (katika maisha yao ya kila siku). Huruma na mshikamano wa wananchi kwa wanazuoni waadilifu waliofungwa magerezani pia viliongezeka. Kwa vile ufahamu wao juu ya ushauri na mwongozo [toka kwa wanazuoni hao waadilifu] viliwapelekea wananchi kuunga mkono harakati za kurekebisha mambo zinazoongozwa na wanazuoni hao na wale wenye kuwalingania watu katika Uislamu. Harakati hizi - kwa baraka za Allah - zinazidi kupata nguvu na watu zaidi wanaziunga mkono siku hadi siku. Watu wengi, raia na hata katika majeshi, wameonyesha kukubaliana na wanazuoni waadilifu, na pia ummah wa Waislamu ulimwenguni unazidisha upinzani dhidi ya Marekani. 

Ama juu ya uhusiano kati ya utawala huu [wa Saudia] na hao wavamizi wa Marekani, operesheni hizi [ulipuaji mabomu vituo vya kijeshi vya Marekani huko Riyadh] zimezivuruga pande zote mbili na zimepelekea [pande hizo] kushutumiana. 

Mareakni imedai kuwa sababu za milipuko hiyo ni matokeo ya siasa mbovu za utawala [wa Saudia] na pia mwenendo mbaya wa watu wa familia [ya kifalme] inayoitawala [Saud Arabia]. Serikali ya Saudia [nayo kwa upande wake ] inaishutumu Mareakni kwamba inautumia uhusiano uliopo [kwa manufaa yake] kwa kuilazimisha serikali ya Saudia kuingia katika mikataba ya kiraia na ya kijeshi ambayo ni nje ya uwezo wake [Saudia]. Mikataba hiyo imepelekea kutetereka kukubwa kwa uchumi na hivyo kuwaathiri wananchi. Zaidi ya hili ni ile tabia ya ukaidi na kiburi ya Marekani dhidi ya jeshi la Saudia na mwenendo wake usioridhisha kwa raia, na pia yale marupurupu ambayo wamarekani huyafaidi tofauti na majeshi ya Saudia. 

Mashambulizi haya pia yamepelekea kuibuka kwa upinzani wa wazi toka miongoni mwa wanafamilia ya kifalme [ambayo ndiyo watawala] na pia ndani ya majeshi ya ulinzi; kwa kweli tunaweza kusema kuwa nchi nyingine za Ghuba zimeamshwa kwa kiasi hicho hicho, na kwamba upinzani dhidi ya uvamizi huo wa Marekani umeweza kusikika katika familia tawala [za kifalme] na katika serikali za Baraza la Ushirika la Nchi za Ghuba (The Cooperative Council of Gulf countries). Tofauti katika mitazamo kati ya Mareakani na mataifa ya Ghuba zimeonekana kwa mara ya kwanza toka vita ya pili ya Ghuba. Hii ilikuwa ni wakati wa mkutano wa mawaziri wa mambo ya nchi za nje wa wa nchi wanachama wa Baraza la Ushirika la Nchi za Ghuba uliofanyika mjini Riyadh ili kujadili hatua ya Marekani kuivamia na kuipiga makombora Iraq. Tofauti hizi si chochote zaidi ya kuwa ni dalili ya mvutano ambao hatimaye umetokea ndani ya uhusiano uliopo kati ya Marekani na nchi za eneo hili [Ghuba] na hii ni matokeo ya hatua za awali za Jihad dhidi ya Marekani kujiingiza Riyadh na pia ni matokeo ya hofu [iliyozikumba] tawala hizi zikichelea nchi zao nazo kukumbwa na Jihad kama hiyo. 

Ilifahamika kuwa maafisa wa Marekani na wale wa Saudia walijaribu kuyahusisha mashambulizi haya na nchi fulani za nje. Je kuna msingi wowote katika madai haya? 

Kutokana na kuongezeka kwa upinzani toka kwa raia dhidi ya Marekani kujiingiza Saudia na kuongezeka kwa ari ya wananchi kuunga mkono harakati za Jihad hii dhidi ya Wamarekani, imefikia sasa Marekani na Saudia wanaeneza propaganda za uongo ili kuvunja ari ya wananchi. Hii inajibainisha katika taarifa zao kuwa nchi fulani katika eneo hili zilisaidia mashambulizi yale yaliyofanywa ndani ya nchi yenye misikiti miwili mitakatifu. Hata hivyo watu wanajua kuwa hizi ni harakati za Kiislamu ndani ya nchi yenyewe dhidi ya uvamizi wa Marekani ambao umejionyesha katika picha ya wazi kabisa baada ya mauaji ya "machampioni" wanne walioendesha ile operesheni ya Riyadh, na ambao kwao, tunamuomba Allah awapokee kuwa ni miongoni mwa waliokufa shahidi. 

Imekuwa ni kawaida kwa nchi yenye kukumbwa na mgogoro wa ndani kusingizia nchi nyingine. Kabla ya ukibaraka wa nchi za kiarabu kwa Marekani kuonekana bayana, idara za usalama hazikusita kukishutumu kikundi chochote cha harakati za Kiislamu kuwa ni kibaraka wa Marekani na Israel. 

[Unadhani] utawala wa Saudia utafanya nini kuhusiana na kuibuka kwa wimbi hili la upinzani toka kwa vikundi vya Kiislamu, na ni nini matarajio yako? 

Zipo hatua mbalimbali ambazo utawala wa Saudia unaweza kuchukua kukabiliana na hali hii, mojawapo ni kuleta suluhu kati yake na vikundi vyote vya wananchi vinavyoipinga serikali hiyo. Suluhu hii inajumuisha kuwaachia huru wanazuoni walio kifungoni, na pia kuleta mabadiliko muhimu katika utawala, ambapo badiliko muhimu kuliko yote ni kurejesha utawala wa Sharia ya Kiislamu, na kuendesha serikali kwa Shura ya kweli (kushauriana kabla ya kuamua jambo). 

Utawala wa Saudia unaweza kulazimika kuchukua hatua hii baada ya kujikuta kuwa wenyewe unatumika tu kwa manufaa ya Marekani. Leo hii wananchi wamebaini kuwa Wamarekani wamechupa mipaka - kisiasa na kiuchumi [katika mahusainao yao na Saudia]- na utawala unatambua kuwa wananchi sasa wanajua kuwa kumbe serikali yao imeingia ubia na Marekani kuongoza Saudia! Jambo hili lilijitokeza wazi hivi karibuni katika taarifa ya Marekani kwa vyombo vya habari ambayo ilitoa uhalali kwa Marekani kuikalia Saudia, na Wamarekani hawafanyi lolote zaidi ya kupora utajiri wa Wasaudia na kuineemesha Marekani. Hatua hii inategemea maafikiano ya watu ambao ndio wenye ufumbuzi wa kuanzisha mabadilko, na walio mbele katika hili [si wengine bali] ni wanazuoni waadilifu. 

Ama hatua nyingine ambayo utawala wa Saudia unaweza kuchukua, lakini hii ni hatua ngumu na ya hatari sana kwa utawala wenyewe, ni kuzidisha mapambano kati ya Waislamu na wavamizi Marekani, na hii itapelekea Saudia kukabiliwa na hali ngumu ya uchumi. Lengo kuu la hatua hii ni kuundoa madarakani utawala wa sasa, kwa radhi za Allah. 

Swali 

Katika kampeni kamambe za kimataifa kupinga harakati za Jihad, wewe mwenyewe umekuwa ukisakamwa sana, ambapo unatuhumiwa kutoa pesa kuendesha ugaidi na wewe mwenyewe unashirikia katika vitendo vya ugaidi wa kimatifa. Unasema nini juu ya shutuma hizi? 

Jibu 

Baada ya kumalizika kwa vita baridi, Marekani ilizidisha kampeni zake dhidi ya Waisalmu ulimwenguni kote kwa malengo ya kuutokomeza Uislamu wenyewe. Mpango wake mkuu katika kampeni hizi ulikuwa ni kuwashambulia wanazuoni na wanamageuzi ambao walikuwa wakiwaelimisha watu juu ya hatari ya ushirika katia ya Uyahudi na Marekani, na pia kuwashambulia Mujahidina. Sisi pia tumepata kushambuliwa katika kampeni hizo kwa vile tulidaiwa kuwa [eti] tunatoa fedha kuendeshea ugaidi, na pia kuwa sisi ni wafuasi wa vikundi vya ugaidi wa kimataifa. Malengo yao kueneza shutuma hizi ni kuwabana kisaikolojia Mujahadina na wale wote wenye kuwaunga mkono ili hatimaye waachilie mbali jukumu la kupigana Jihadi na kupinga uonevu na uvamizi katika maeneo matakatifu ya Kiislamu unavyofanywa na Marekani na Israel. Hata hivyo, tunamshukuru Allah, kampeni yao haikufanikiwa, kwa vile ugaidi dhidi ya uvamizi wa Marekani ni wajibu halali na tena wa kidini. Tunamshukuru Allah, Mwenye Kutukuka, ametujaalia wepesi katika Jihad hii tunayopigana kwa ajili ya dini Yake, Jihadi ambayo ni kupinga mashambulizi ya Marekani na Israel katika sehemu takatifu za Kiislamu. 

Juu ya shutuma kuwa tunafanya ugaidi dhidi ya watu wasio na hatia, watoto na wanawake, hii ni uzushi tu wa "kuwasingizia watu wengine kwa maovu yao wenyewe ili kuwahadaa watu". Ushahidi wa kutosha unaonyesha kuwa Marekani na Israel zinaua watu wasio na hatia, wanawake na watoto katika umma wa Kiislamu na sehemu nyinginezo. Mifano michache ya uovu huo inaonekana katika mauaji ya hivi karibuni huko Qana, Lebanon na vifo vya watoto wa Iraq zaidi ya laki sita (600,000) vilivyotokana na uhaba wa chakula na madawa kutokana na vikwazo walivyowekewa Waislamu wa Iraq. Kadhalika waliwazuia Waislamu wa Bosnia-Herzegovina kupata silaha [ili kujilinda] na hivyo kuwaacha wawe ‘kitoweo’ cha Wakristo wa Serbia ambao waliwabaka [wanawake wa Kiislamu] na kuwaua kwa wingi katika namna ambayo haijapata kuonekana katika historia ya mwanadamu. Na pia bila kusahau walivyodondosha mabomu ya ‘hydrogen’ (H-bomb) katika miji ya Hiroshima na Nagasaki [Japan] ambapo wakazi wake wengi walikuwa ni watoto, wanawake na wazee, na sasa wanaendelea kuwaua maelfu ya watoto wa Iraq kutoana na vikwazo. 

Pamoja na kuendelea kuikalia kwa nguvu nchi yenye misikiti miwili mitakatifu, Marekani inajadai kuwa inadumisha uhuru na utu, hali ya kuwa unyama inafanya ambao hata mnyama aliye katili hawezi kuufanya. 

Juu ya kile Marekani wanachotushutumu - kuua watu wasio na hatia - wameshindwa kutoa ushahidi wowote, pamoja na kuwa wametumia kiasi kikubwa cha fedha kutufanyia ujasusi. Mbali na unyama uliofanywa na Urusi huko Afghanistan - kuua watoto, wanawake na kaka zetu - inaonekana kama vile hakuna watu waliouawa! Hali ni sawa na huko kwetu Saudia ambako sisi tumetofautiana na mwenendo wa serikali ya Saudia, na sasa kilichoonekana ni haya tu mauaji ya askari wa [kivamizi] wa Marekani huko Riyadh na Khobar [wakati maovu yao hawayataji]. 

Wito wetu na tunachowahimiza Waislamu wote ni kuingia katika mapambano na hawa wavamizi wa kimarekani na Israel jambo ambalo ni wajibu wa kidini. Allah ametuamrisha katika Aya nyingi za Qur’an tupigane katika Njia Yake na tuwahimize waumini kufanya hivyo: ‘Pigana katika Njia ya Allah, hukuamrishwa jambo ila lile unaloliweza, na uwahimize waumini [kupigana] Allah, atazipunguza nguvu za makafiri, na Allah ni Mwenye Nguvu na Mkali wa kuadhibu’. Tena Allah amesema: ‘Ni kitu gani basi kinakuzuilieni kupigana katika Njia ya Allah, hali ya kuwa wale wanyonge miongoni mwa wanamume, wanawake na watotowanaomba: Ewe Mola wetu tuokoe kutoka katika mji huu ambao watu wake ni wakandamizaji, na utujaalie kutoka kwako mlinzi na pia utujaalie mwokozi. Na amesema: ‘Na mtakapokabiliana na makafiri [katika mapambano] basi wakateni shingo ... [Aya alizozirejea Bw. Usama hapo juu ni 4:84, 4:75 na 47:4]. 

Tunakula kiapo mbele ya Allah ya kuwa, muda wakuwa damu ingali inazunguka mwilini na macho yetu yanaona, tutaendeleza mapambano haya na tunamuomba Allah azipokee juhudi zetu na atujaalie mwisho mwema sisi na Waislamu wote kwa ujumla. 

Baadhi ya vyombo vya habari vimetangaza kuwa serikali ya Afghanistan imewaamuru muondoke nchini humo. Je habari hizi ni za kweli? 

Serikali ya Afghanistan haijatuamuru tuondoke nchini humo ...tunamshukuru Allah [kwamba] uhusiano na ndugu zetu Mujahidina wa Afghanistan ni uhusiano wa kweli na dhati ambapo damu zetu na jasho letu vimemwagika pamoja katika miaka mingi ya mapambano dhidi ya Soviet. Hakika uhusiano wetu sio kitu cha kupita au kuwa ni wenye kujali maslahi binafsi. 

[Afghanistan] wametia nia ya dhati kuismamisha dini iliyokubaliwa na Allah, na nchi hiyo bado ina msimamo wake ule ule kama ilivyofahamika awali [kuwa ni] ngome imara ya Uislamu, na watu wake ni miongoni mwa walinzi wakubwa wa dini aliyoiridhia Allah, na wanayo nia kubwa ya kuzitekeleza Sheria Zake [s.w.t.] na kusimamisha taifa la Kiislamu. 

Kipindi kile cha mapigano ya wenyewe kwa wenyewe kimetuhuzunisha kama kilivyowahuzunisha Waislamu wengine wote. Hata hivyo tunapenda kuonesha kuwa vyombo vya habari vya kimataifa vimesimulia tofauti kabisa na hali halisi, na kwamba mapigano haya ya ndani ni madogo tu na si kama watu wa nje wanvyofikiria, na katika sehemu kubwa ya nchi watu wanaishi kwa amani, ukiachilia mbali uhalifu mdogo mdogo wa hapa na pale. Tunatarajia kuwa Afghanistan itairejesha hadhi yake na kuwa taifa la Kiislamu, Mungu akijaalia. 

[Unafikiri] ni nini wajibu wa Waislamu ulimwenguni kote kuhusiana na hizi kampeni za kimataifa kuupiga vita Uislamu? 

Jambo ambalo halina shaka katika hizi kampeni za pamoja kati ya Wayahudi na Wakristo dhidi ya Waislamu ulimengini kote, kampeni ambazo mfano wake haujawahi kupatikana, ni kwamba lazima Waislamu kukusanya nguvu zote ili kumshinda adui kijeshi, kiuchumi, kiitikadi na pia katika nyanja zingine zote. 

Ni muhimu kwa [Waislamu ulimwenguni kote] kuwa ni wenye subira na kushirikaina katika mambo mema na ucha-Mungu na [pia] kuongeza kuujua zaidi ukweli kuwa kilicho muhimu zaidi baada ya sisi kuamini ni kumg’oa adui ambaye anaivuruga dini na ulimwengu kwa ujumla. 

Ni muhimu kuepuka kugombana wenyewe kwa wenyewe katika mambo yasiyo ya msingi ili tuunganishe juhudi zetu tupate kuung’oa ukafiri uliokithiri. 

Ni lazima wayaweke maneno haya ya Allah, Aliye Mtukufu, katika vitendo: "hakika huu umma wako ni umma mmoja, na Mimi ni Mola wako, hivyo niabudu Mimi", na wala wasiwe kama wale ambao Allah amewelezea kwa maneno Yake haya: "hakika wale walioigawanya dini yao na kuwa vikundi vikundi, wewe si katika wao". 

Ipo haja ya kujitolea na wala sio kuzozana katika mambo madogo madogo, na [wala] Muislamu asiyabeze matendo mema [ ya mwenzie] kwa namna yoyote ile. Mtume (s.a.w.) alisema: "Yeyote anayemwamini Allah na Siku ya Mwisho basi aseme maneno mazuri au akae kimya". Pia wazingatie maneno ya Mtume (s.a.w.), "wafahamisheni [wenzenu] wala msiyaharibu [mema waliyoyafanya] wafanyieni wepesi wala msiwafanyie ugumu". 

Tunamuomba Allah kuujalia umma huu uongofu, kuwainua daraja watu wenye kumtii Yeye[s.w.t.] na kuwadhalilisha wale wote wenye kumuasi, na atupe utawala ambamo wema unaarishwa na uovu unazuiliwa. Ee Mola mpe Rehma Zako Muhammad, [ambaye ni] mja Wako na Mjumbe Wako, na familia yake, na masahaba zake na uwape amani .... Shukurani zote zinamstahiki Allah, Mola wa ulimwengu. 

Yatokanayo 

1. Tawala nyingi zipo madarakani si kwa maslahi ya wananchi, bali kwa maslahi ya watawala. 

2. Utakapokuta katika nchi fulani ambapo utawala wake si kwa mujibu wa sheria za Allah lakini utawala huo ukawa na mahusiano mazuri na viongozi wa kidini, basi uwezekano ni kuwa viongozi hao wa kidini hawatendi kama alivyoamrisha Mwenyezi Mungu. 

3. Katika jamii ni muhmu liwepo kundi, hususani la wanazuoni, japo wachache,ambalo litakuwa likifanya tathmini ya mwenendo wa serikali na mamlaka za kidini zilizoidhinishwa na serikali. Kundi hili litazikosoa mamlaka hizo mbili na kisha kuonesha Njia Sahihi ingawa litapata misukosuko ndani na nje ya nchi hiyo. 

4. Adui anayetukabili Waislamu amepania kwelikweli. Kumshinda adui huyu tunahitaji juhudi za pamoja na kufuata Qur’an na Sunnah. Leo hii hapa Tanzania Waislamu tumegawanyika makundi makundi; mbaya zaidi ni kuwa Waislamu wa kundi moja wanakuwa ni vipenzi zaidi wa makafiri kundi la Waislamu wenzi wao! 

5. Mwenyezi Mungu aliyetuamrisha kufunga saumu ya Ramadhani ndiye huyo huyo ametuarisha kupigana kwa ajili Yake kuondoa dhuluma na pia kulipiza kisasi. Yote haya yamo ndani ya Qur’an na hatuna budi kutii ikiwa sisi ni wenye kuamini. 

Allah ndiye Mjuzi zaidi 
 

Juu 
 

YALIYOMO 
  

Tahari 
Kama hakuna haki watu watachukua sheria mkononi 

Kupokelewa kwa malalamiko ya Waislamu: Masheikh wasubiri ukweli wa Mkapa 

Afariki baada ya kutokwa damu nyingi: Yadaiwa hakuwa na sh. 4,000 

Nyumba ya Wakfu iliyoporwa yarejeshwa 

Kamanda Gewe atakiwa amkamate Daniel 

Sheikh awasambaratisha walevi Liwale 

Msikiti wavamiwa na kuvunjwa milango, madirisha 

Mjue Usama bin Ladin -2 

Msikiti wa Mwinyimkuu wafanya sensa 

Njaa hakuna, tunategemea kula silaha 

Parole kwa mbinde! 

Mabaraza yawatetee Waislamu - Sheikh Bafadhil 

Hali ya Uislamu Lukulunge, Kongwa inatisha 

Waislamu Kondoa waagizwa kuyatunza magazeti ya ANNUUR 

I.P.C yatakiwa kujitangaza 

Kutoka magazeti ya zamani 

Sabato ni ya Waisraeli, Mungu alikwishaiondoa 
Na Muhibu Said 

Waislamu wachoma moto nguruwe 

Tume ya kubadili Katiba Kenya: Waislamu kuwakilishwa 

Waislamu Msonge waomba wanusuriwe 

Sayansi na Teknolojia 
[PELEKA FAX NCHI ZA NG’AMBO BURE! – (2)] 

Masomo ya Kiislam 

Barua za Wasomaji 

Mashairi 

Chakula na Lishe 
[Mwongozo wa mlo wa kila siku] 
 
 


Bonyeza hapa
kushriki mjadala au kutoa maoni juu ya habari hizi na masuala mengineyo ya Kiislamu kwenye Baraza ya Wasomaji

   Kutoa maoni yako kuhusu ukarasa huu: Bonyeza hapa
Au
Andika barua  kwa: webmaster@islamtz.org
 
Home Links Islam Tanzania Matoleo yaliyopita