AN-NUUR
Gazeti la Kiislamu la kila wiki - Tanzania
Toleo la Internet

Ulaji wa ‘Kiti Moto’ hadharani

Umoja wa Kitaifa wafikia hatma yake
UMOJA wa Kitaifa Tanzania inaojivunia upo mbioni kuporomoka tena kwa kasi kubwa kutokana na mwelekeo wa Wakristo kulazimisha mazingira ya kujitenga.

Hayo ni maoni ya watu kadhaa waliohojiwa na gazeti hili kufuatia tarifa za vyombo vya habari kwamba Mwenyekiti wa Tume ya Jiji Bw. Charles Keenja ametoa agizo kwamba ulaji wa nyama ya nguruwe sasa uwe hadharani. Endelea...


Bonyeza hapa
kushriki mjadala au kutoa maoni juu ya habari hizi na masuala mengineyo ya Kiislamu kwenye Baraza ya Wasomaji

   Kutoa maoni yako kuhusu ukarasa huu: Bonyeza hapa
Au
Andika barua  kwa: webmaster@islamtz.org
 
An-nuur Home | Ukurasa wa Mwanzo | Islam Tanzania 
Links | Matoleo Yaliyopita | Sign our Guestbook
 
Gazeti hili huchapishwa na Islamic Propagation Centre, Box 55105, Dar es Salaam