AN-NUUR
Gazeti la Kiislamu la kila wiki - Tanzania
Toleo la Internet

Baada ya Wakristo 51 kusilimu:
Serikali yaingilia kati mihadhara
Na Muhibu Said

KATIKA hatua inayotafsiriwa na wengi kama juhudi za kulihami Kanisa, serikali wilayani Temeke imepiga marufuku mihadhara ya dini katika maeneo ya wazi kwa zaidi ya siku mbili.

Hatua hiyo ya uongozi wa Wilaya ya Temeke imekuja muda mfupi baada ya Khidmat Da’wah Islamia kupiga muhadhara mfululizo uliowaacha Wakristo 51 wakiwa wamerejea katika Uislamu. Endelea..


Bonyeza hapa
kushriki mjadala au kutoa maoni juu ya habari hizi na masuala mengineyo ya Kiislamu kwenye Baraza ya Wasomaji

   Kutoa maoni yako kuhusu ukarasa huu: Bonyeza hapa
Au
Andika barua  kwa: webmaster@islamtz.org
 
An-nuur Home | Ukurasa wa Mwanzo | Islam Tanzania 
Links | Matoleo Yaliyopita | Sign our Guestbook
 
Gazeti hili huchapishwa na Islamic Propagation Centre, Box 55105, Dar es Salaam