HALI ya mapambano kati ya Waislamu na vijana wa Daniel/Pius inahofiwa kuibuka wakati wowote lau hatua za haraka hazitachukuliwa kutatua mgogoro wa nyumba za Wakfu.
Fukuto la hatari hiyo limechochewa na taarifa zilizopatikana kwamba msimamo wa serikali ya mkoa ni kwamba nyumba ya Wakfu yenye mgogoro ni mali "halali" ya Bw. Pius Kipengele.
Imearifiwa kwamba msimamo huo wa serikali
umeegemea hoja kwamba Bw. Pius alinunua nyumba hiyo kutoka kwa Bw. Daniel
japo ni ya Wakfu kwa Masjid Mwinyi toka kwa marehemu Hajat Aziza Omar.
Endelea..
|
|