AN-NUUR
Gazeti la Kiislamu la kila wiki - Tanzania
Toleo la Internet

Shule zisizoruhusu Hijab Tanga kuwakosa Waislamu
 

Na Abu Abdullah, Tanga

MIKAKATI inapangwa mjini Tanga kuhakikisha kuwa amri ya Allah (s.w.) kuhusu vazi la stara (hijab) linatekelezwa na kila Muislamu.

Hilo lilikuwa ndilo azimio kuu mwishoni mwa mkutano wa kusisimua baina ya wazazi wa Kiislamu na viongozi wa TAMSA uliofanyika Machi 7, mwaka huu kwenye shule ya Jumuiya ya mjini hapa.

Katika mkutano huo, Mwenyekiti na Katibu wa TAMSA waliwasilisha mbele ya wazee malalamiko yao, kubwa ikiwa ni suala zima la hijab.  Endelea..


Bonyeza hapa
kushriki mjadala au kutoa maoni juu ya habari hizi na masuala mengineyo ya Kiislamu kwenye Baraza ya Wasomaji

   Kutoa maoni yako kuhusu ukarasa huu: Bonyeza hapa
Au
Andika barua  kwa: webmaster@islamtz.org
 
An-nuur Home | Ukurasa wa Mwanzo | Islam Tanzania 
Links | Matoleo Yaliyopita | Sign our Guestbook
 
Gazeti hili huchapishwa na Islamic Propagation Centre, Box 55105, Dar es Salaam