TAARIFA ya TAMPRO tawi la Iringa imedai kwamba inaelekea uongozi wa shule ya Sekondari Mkwawa haifurahishwi kuwepo kwa wanafunzi Waislamu shuleni hapo.
Wanafunzi Waislamu ambao ni wachache sana shuleni hapo imedaiwa kwamba wamekuwa wakikerwa na kunyanyaswa na uongozi wa shule kwa tuhuma kwamba wanataka kuiharibu shule kwa Uislamu wao.
Imeelezwa kwamba wanachodai
wanafunzi hao ni uhuru wao wa kuswali, kuvaa Hijab na majukumu mengine
ya dini yao wakiwa shuleni. Endelea....
SERIKALI imeshutumiwa kuvuruga amani kwa vyombo vyake vya dola kuingilia masuala ya dini kinyume na Katiba na sheri za nchi.
Bw. Ndimbo ambaye ni Mkatoliki
amemwambia Mkuu wa Wilaya ya Temeke kuwa serikali na vyombo vyake vinastahiki
kubeba lawama zote za kuvunjika kwa amani nchini kwa vyombo vyake kuhusika
kuanzisha vurugu katika mihadhara ya dini. Endelea...
|
|