SIKU moja tu baada ya vyombo vya habari kuripoti kuwa Makamu wa Rais ameonya juu ya shughuli za Kamati ya Kutetea Haki za Waislamu nchini kwa madai kwamba haijasajiliwa, baadhi ya waumini wamekamatwa na kupekuliwa majumbani mwao.
Aidha, kituo kimoja cha televisheni
Jijini kimeripoti katika taarifa yake ya habari jana usiku kwamba Mh. Omar
Ali Juma amemuagiza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dar es Salaam Bw. Alfred
Gewe kushughulikia agizo lake la kuipiga marufuku Kamati ya Ponda.
Endelea...
SHEIKH Ahmed Zubeir amewaambia Waislamu wasikubali propaganda kuwa eti Waislamu hawakutaka kusoma toka wali; bali walikuwa wa mwanzo kusoma lakini wakazikataa shule za Wakristo waloweka taratibu zilizokuwa zikitumika za kuwabatiza Waislamu ili wakubalike kuingia katika shule zao.
Aliwafahamisha vijana kuwa
sasa uwanja wa kutafuta elimu ni mpana; hivyo vijana wanapaswa kuitafuta
elimu popote pale na kwa gharama zote. Endelea...
|
|