AN-NUUR
Gazeti la Kiislamu la kila wiki - Tanzania
Toleo la Internet

Ubaguzi dhidi ya Waislamu Songea:
Masista wavaa vilemba vyao, Waislamu Hijaab marufuku
 

Na Mwandishi Wetu

JUMUIYA ya wanafunzi Waislamu mkoani Ruvuma wameelezea masikitiko yao juu ya ubaguzi unaofanywa dhidi ya wanafunzi Waislamu mashuleni.

Taarifa ya Jumuiya hiyo RUMUSA imedai kuwa wakati wanafunzi Waislamu wamepigwa marufuku kuvaa hijaab katika baadhi ya mashule wanafunzi watawa Wakikatoliki (masista) wanaosoma shuleni huvaa magauni yao na vilemba bila ya bughudha. Endelea...
 

Waliokamatwa Nzega wapewa dhamana
 
  Na Mwandishi Wetu

BAADA ya kusota rumande hatimaye waumini 15 waliokamatwa wilayani Nzega miezi miwili iliyopita wamepewa dhamana na mahakama ya Hakimu Mkazi mkoa wa Tabora.

Waumini hao walikamatwa mjini humo kwa tuhuma za kutoa mahubiri ya kashfa dhidi ya dini nyingine.
Endelea...


Bonyeza hapa
kushriki mjadala au kutoa maoni juu ya habari hizi na masuala mengineyo ya Kiislamu kwenye Baraza ya Wasomaji

   Kutoa maoni yako kuhusu ukarasa huu: Bonyeza hapa
Au
Andika barua  kwa: webmaster@islamtz.org
 
An-nuur Home | Ukurasa wa Mwanzo | Islam Tanzania 
Links | Matoleo Yaliyopita | Sign our Guestbook
 
Gazeti hili huchapishwa na Islamic Propagation Centre, Box 55105, Dar es Salaam