AN-NUUR
Gazeti la Kiislamu la kila wiki - Tanzania
Toleo
la Internet
Tukielekea
uchaguzi 2000:
Sheikh wa Ansaar
adai kupiga kura ni ukafir
-
Mwanza wamwambia katumwa na CCM
Na Mwandishi Wetu
KIONGOZI wa Ansaar Sunnah
Tanga amedai kwamba kupiga kura katika nchi hii ya Tanzania ni ukafiri
kwani kufanya hivyo ni kusaidia kuweka tawala za kitwaghuti.
Alisema kuwa nchi hii inaendeshwa
na sheria za kitwaghuti na hivyo kushiriki kuzisimamisha' ni kumshirikisha
Allah (s.w.).
Akifafanua kauli yake, Sheikh
Salim Barahiyan alitoa mfano wa Bunge la Tanzania linavyotunga sheria kinyume
na za Allah na hivyo kumshirikisha Allah. Endelea....
Bonyeza hapa
kushriki mjadala au kutoa maoni juu ya habari hizi
na masuala mengineyo ya Kiislamu kwenye Baraza
ya Wasomaji
Kutoa maoni yako kuhusu ukarasa
huu: Bonyeza hapa
Au
Andika barua kwa: webmaster@islamtz.org
Gazeti hili huchapishwa na Islamic Propagation
Centre, Box 55105, Dar es Salaam