AN-NUUR
Gazeti la Kiislamu la kila wiki - Tanzania
Toleo
la Internet
Maimamu
Dar waijia juu CCM
-
Wasema isiwaparamie Waislamu
Na Mwandishi Wetu
MAIMAMU Jijini wamelaani
kauli iliyotolewa na Katibu Mkuu wa CCM Bwana Philip Mangula ikinasibisha
Misikiti na vitendo vya vurugu na rushwa.
Wamesema kauli hiyo ililenga
kuudhalilisha Uislamu na kuwatukana Waislamu.
Katika taarifa yao kwa vyombo
vya habari iliyosambazwa jana ambayo imesainiwa na Amir wa Shura Sheikh
Juma S. Mbukuzi, Maimamu hao wamesema kauli ya Katibu Mkuu wa CCM imekashifu
Misikiti.
Endelea....
Bonyeza hapa
kushriki mjadala au kutoa maoni juu ya habari hizi
na masuala mengineyo ya Kiislamu kwenye Baraza
ya Wasomaji
Kutoa maoni yako kuhusu ukarasa
huu: Bonyeza hapa
Au
Andika barua kwa: webmaster@islamtz.org
Gazeti hili huchapishwa na Islamic Propagation
Centre, Box 55105, Dar es Salaam