AN-NUUR
Gazeti la Kiislamu la kila wiki - Tanzania
Toleo
la Internet
'Kutozungumza
siasa Misikitini ni pumbao la kisiasa'
Na Mwandishi Wetu
MWANAHARAKATI maarufu
na muasisi wa vuguvugu la wanafunzi na vijana wa Kiislamu nchini, Mwalimu
Mtengwa Burhani amewahadharisha Waislamu na pumbao kuwa siasa isizungumzwe
Misikitini.
Mwalimu Mtengwa alitoa hadharisho
hilo katika mkesha wa Maulid yaliyofanyika Jumamosi iliyopita katika Msikiti
wa Mtambani. Endelea...
Shule
ya Kiislamu Same kukamilika mwaka huu
-
Itaanza masomo Januari 2000
Na Mwandishi Wetu
SHULE ya Sekondari ya
Kiislamu ambayo ujenzi wake ulianza miaka mitano iliyopita wilayani Same
inatazamiwa kukamilika kujengwa mwishoni mwa mwaka huu.
Tamasha la sita la ujenzi
huo wa harambee uliowashirikisha Waislamu kutoka mikoa mbalimbali lilimalizika
Julai tisa mwaka huu ambapo iliazimiwa kuwepo tamasha jingine mwezi Septemba
na Oktoba kukamilisha ujenzi huo ili kuwezesha shule kuanza ifikapo Januari
2000. Endelea....
Bonyeza hapa
kushriki mjadala au kutoa maoni juu ya habari hizi
na masuala mengineyo ya Kiislamu kwenye Baraza
ya Wasomaji
Kutoa maoni yako kuhusu ukarasa
huu: Bonyeza hapa
Au
Andika barua kwa: webmaster@islamtz.org
Gazeti hili huchapishwa na Islamic Propagation
Centre, Box 55105, Dar es Salaam