AN-NUUR
Gazeti la Kiislamu la kila wiki - Tanzania
Toleo la Internet

Serikali inayatumikia Makanisa - Baraza Kuu
 

Na Mwandishi Wetu
 

RAIS Benjamin Mkapa amepelekewa taarifa inayodai kwamba serikali imekuwa ikiyatumikia Makanisa ambapo hulazimika kuyapa ruzuku kuendeshea shughuli zao.

Aidha, imeelezwa katika taarifa hiyo kuwa serikali imekuwa ikiwajibika kwa Makanisa kwa kuyatengea nafasi maalum za masomo pamoja na kuyatafutia fedha toka nchi na mashirika ya nje yanayoipa Tanzania misaada. Endelea...


Bonyeza hapa
kushriki mjadala au kutoa maoni juu ya habari hizi na masuala mengineyo ya Kiislamu kwenye Baraza ya Wasomaji

   Kutoa maoni yako kuhusu ukarasa huu: Bonyeza hapa
Au
Andika barua  kwa: webmaster@islamtz.org
 
An-nuur Home | Ukurasa wa Mwanzo | Islam Tanzania 
Links | Matoleo Yaliyopita | Sign our Guestbook
 
Gazeti hili huchapishwa na Islamic Propagation Centre, Box 55105, Dar es Salaam