AN-NUUR
Gazeti la Kiislamu la kila wiki - Tanzania
Toleo
la Internet
Wananchi
wahoji serikali ya CCM:
Je,
viongozi wa Waislamu ni wahaini au wauaji?
-
Yakumbushwa; dhulma haidumu
-
Kuwatesa ni kuwasha moto utakaokosa mzimaji
WAISLAMU mbalimbali wamelaani
vikali kitendo cha serikali kumkamata Amir wa Waislamu Sheikh Juma Mbukuzi
na kusema kuwa ni kitendo asichostahiki kufanyiwa kiongozi yeyote wa dini.
Wakiongea na gazeti hili
kwa nyakati tofauti walisema kuwa anayekamatwa usiku anakuwa ni mhaini
au muuaji inakuwaje Sheikh "avamiwe" usiku wa manane kama mhaini".
Endelea...
Bonyeza hapa
kushriki mjadala au kutoa maoni juu ya habari hizi
na masuala mengineyo ya Kiislamu kwenye Baraza
ya Wasomaji
Kutoa maoni yako kuhusu ukarasa
huu: Bonyeza hapa
Au
Andika barua kwa: webmaster@islamtz.org
Gazeti hili huchapishwa na Islamic Propagation
Centre, Box 55105, Dar es Salaam