AN-NUUR
Gazeti la Kiislamu la kila wiki - Tanzania
Toleo
la Internet
HALI ya utata uliyokuwepo katika suala la uvaaji wa Hijaab mashuleni umeondoka baada ya Mhe. Rais Benjamin William Mkapa kutoa ufafanuzi na maelekezo juu ya suala hilo.
Mhe. Rais Mkapa amesema kuwa
kuvaa Hijaab na kuhudhuria swala ya Ijumaa ni haki ya Waislamu na hakuna
wa kuizuia.
Endelea...
Bonyeza hapa
kushriki mjadala au kutoa maoni juu ya habari hizi na
masuala mengineyo ya Kiislamu kwenye Baraza
ya Wasomaji
|
Links | Matoleo Yaliyopita | Sign our Guestbook |
Gazeti hili huchapishwa na Islamic Propagation Centre, Box 55105, Dar es Salaam