AN-NUUR
Gazeti la Kiislamu la kila wiki - Tanzania
Toleo la Internet

Taasisi nchini zatakiwa kuacha kuwagawa Waislamu
 

Na Rajab Rajab, Morogoro

TAASISI za Kiislamu nchini zimetakiwa kukutana na kupanga kwa pamoja jinsi ya kuwaendeleza waumini wa dini hiyo badala yakuwagawa kwa tofauti mbalimbali zikiwemo za kimadhehebu.

Hayo yalisemwa Jumamosi iliyopita na waumini wa Kilakala mjini hapa walipokuwa wakisoma risala yao katika sherehe za Maulid kwa mgeni rasmi wa hafla hiyo Imamu wa Msikiti wa Ijumaa Mohammed Kairo.   Endelea...


Bonyeza hapa
kushriki mjadala au kutoa maoni juu ya habari hizi na masuala mengineyo ya Kiislamu kwenye Baraza ya Wasomaji

   Kutoa maoni yako kuhusu ukarasa huu: Bonyeza hapa
Au
Andika barua  kwa: webmaster@islamtz.org
 
An-nuur Home | Ukurasa wa Mwanzo | Islam Tanzania 
Links | Matoleo Yaliyopita | Sign our Guestbook
 
Gazeti hili huchapishwa na Islamic Propagation Centre, Box 55105, Dar es Salaam