AN-NUUR
Gazeti la Kiislamu la kila wiki - Tanzania
Toleo
la Internet
"NAWAELEZENI haya
wazee kwa sababu huko tulikotoka, tulikotoka pamoja na wazee, wazee wa
nchi tulishikamana sana".
Hiyo ni sehemu ya hotuba ya Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliyoitoa jioni ya Jumamosi Novemba 2, 1985 katika ukumbi wa Diamond Jubilee wakati akiwaaga wazee wa Dar es Salaam baada ya kung'atuka wadhifa wa Urais.
Tangu kufariki dunia Mwalimu
Julius Nyerere baadhi ya vyombo vya habari vimekuwa vikiirudia mara kwa
mara hotuba hiyo kama wasia wa mwasisi huyo kwa Watanzania.
Endelea...
Bonyeza hapa
kushriki mjadala au kutoa maoni juu ya habari hizi na
masuala mengineyo ya Kiislamu kwenye Baraza
ya Wasomaji
|
Links | Matoleo Yaliyopita | Sign our Guestbook |
Gazeti hili huchapishwa na Islamic Propagation Centre, Box 55105, Dar es Salaam