AN-NUUR
Gazeti la Kiislamu la kila wiki - Tanzania
Toleo
la Internet
Jinamizi
bandia litavunja umoja
-
Mzee Shaaban Gonga asema
moyo wa upendo wa TANU haurudi
-
Imam wa Mtambani akamatwa
ZIMWI bandia limeundwa kuwatisha
watu kuwa amani ipo hatarini kwa ubaguzi. Lakini huenda matokeo yake yakawa
kinyume chake.
Wananchi wanalazimishwa kuamini
kuwa ukabila na udini lilikuwa ni tatizo kubwa. Tatizo lililokuja kupigwa
vita baada ya uhuru.
Endelea...
Bonyeza hapa
kushriki mjadala au kutoa maoni juu ya habari hizi
na masuala mengineyo ya Kiislamu kwenye Baraza
ya Wasomaji
Kutoa maoni yako kuhusu ukarasa
huu: Bonyeza hapa
Au
Andika barua kwa: webmaster@islamtz.org
Gazeti hili huchapishwa na Islamic Propagation
Centre, Box 55105, Dar es Salaam