AN-NUUR
Gazeti la Kiislamu la kila wiki - Tanzania
Toleo la Internet

Rais pekee hana ubavu
 
SI viongozi, bali ni wananchi watakaoinusuru nchi.
 

Nguvu za Kimataifa dhidi ya nchi changa zimekuwa kubwa mno kwa kiongozi yeyote kuzihimili.

Katika hali hiyo Dk. Rugatiri Mekacha ametoa wito kwa watu waepukane na siasa za mtu.

Ni lazima wananchi wapewe uhuru wa kuunda jumuiya zao za kijamii zenye nguvu.  Endelea...
 

Wanawake Ulaya wasaka maadili ya Uislamu

MAELFU ya wanawake nchini Uingereza wanasilimu kwa kasi, hali inayowakanganya Wakristo nchini humo.

Inakadiriwa kuwa Waingereza 10,000 wamesilimu katika kipindi cha miaka 10 iliyopita, wengi wao ni wale waishio peke yao (wasio na ndoa) na wasomi wa kike.

Madaktari, wahadhiri wa vyuo na wanasheria wengi ni miongoni mwa watu waliosilimu na kuikubali dini ambayo huko nyuma ilidhaniwa (vibaya) kuwakandamiza wanawake. Endelea..


Bonyeza hapa
kushriki mjadala au kutoa maoni juu ya habari hizi na masuala mengineyo ya Kiislamu kwenye Baraza ya Wasomaji

   Kutoa maoni yako kuhusu ukarasa huu: Bonyeza hapa
Au
Andika barua  kwa: webmaster@islamtz.org
 
An-nuur Home | Ukurasa wa Mwanzo | Islam Tanzania 
Links | Matoleo Yaliyopita | Sign our Guestbook
 
Gazeti hili huchapishwa na Islamic Propagation Centre, Box 55105, Dar es Salaam