AN-NUUR
Gazeti la Kiislamu la kila wiki - Tanzania
Toleo
la Internet
Demokrasia
nchini mashakani
-
Wananchi wazuiliwa kupiga kura
MFUMO wa demokrasia nchini umeelezwa
kuingia mashakani baada ya wafuasi kadhaa wa vyama vya upinzani kutiwa
mbaroni kufuatia kuonesha hisia za kutoridhishwa na zoezi zima la uchaguzi
wa serikali za mitaa uliofanyika mapema wiki hii.
Idadi ya waliotiwa mbaroni katika kile
kilichodaiwa na vyombo vya dola kuwa ni kudhibiti vurugu hadi sasa imefikia
18 ambapo wawili kati yao walikamatwa katika kituo cha kupigia kura eneo
la Mwananyamala. Endelea...
To search in An-nuur:
Write a word or words in the space provided then press "Search".
Bonyeza hapa
kushriki mjadala au kutoa maoni juu ya habari hizi
na masuala mengineyo ya Kiislamu kwenye Baraza
ya Wasomaji
Kutoa maoni yako kuhusu ukarasa
huu: Bonyeza hapa
Au
Andika barua kwa: webmaster@islamtz.org
Gazeti hili huchapishwa na Islamic Propagation
Centre, Box 55105, Dar es Salaam