HABARI ZA KIMATAIFA


Wachechen wafyeka askari 84 wa Russia

MAPIGANO makali yameripotiwa kuendelea katika vijiji vya jirani na mji mkuu wa Chechnya Grozny.

Mashirika ya habari jana yaliripoti zaidi ya askari 84 wa Russia wameuawa na 150 kujeruhiwa baada ya jaribio la majeshi ya Russia kuuteka mji huo kushindwa siku chache zilizopita.

Idadi hiyo ni mbali na ile ya askari 1000 wa jeshi hilo waliofyekwa mwanzoni mwa wiki hii.

Hadi kufikia jana wapiganaji wa Kiislamu wa Chechnya walifanikiwa kurejesha vijiji kadhaa vilivyo kando ya Grozny ambavyo vilitekwa na majeshi ya Russia.

Wachechen wameyasukuma nyuma majeshi ya Russia ambayo kwa masiku kadhaa yalikuwa yameuzingira mji wa Grozny.

Kamanda wa majeshi ya Russia amenukuliwa na vyombo vya habari kukiri upinzani mkali unaoyapata majeshi yake kutoka kwa wapiganaji wachache wa Chechnya.

Amesema maisha ya askari wengi wa jeshi lake itabidi yapotee katika operesheni ya kuingia mitaa ya Grozny.

Hata hivyo, amedai bado ana matumaini ya ushindi katika vita hivyo ingawa amekiri "vijana wake" wamepoteza morali baada ya wenzao wengi kuteketezwa na "nguvu isiyoonekana" ya Wachechen.

Kwa upande wa wapiganaji wa Chechnya wameapa kuendelea na vita hivyo hadi mtu wa mwisho.

Aidha, wamesema wangefurahi zaidi kama mapambano hayo yangekuwa katika mitaa ya Grozny kuliko pembezoni mwake kama ilivyo sasa.

Mchambuzi mmoja wa masuala ya vita katika kipindi cha televisheni ya BBC amesifu uhodari wa Chechen katika kuwakabili maadui wawapo vitani.

Amesema hivi sasa vijana wadogo waliobaki mjini humo hufanya doria kuzunguka viunga vya mji wa Grozny kisha huwasilisha ripoti kwa makamanda wa wapiganaji.

Vituo vya televisheni jana vilionesha wapiganaji wa Chechnya wakikabiliana na majeshi ya Russia huku wakiwa na nyuso za furaha na matumaini ambapo wengine walionekana wakiswali na kurukaruka.

Wito umetolewa kwa Waislamu wote duniani kuelekeza Chechnya misaada ya hali na mali pamoja na dua ili msaada wa Allah uwe pamoja nao.

Jeshi la Urusi ni kubwa kwa askari wengi mara thelathini zaidi ya Waislamu. Kila Muislamu mmoja hupigana na askari 30.

Kiwango cha juu kabisa kilichotajwa katika Qur'an (8:65) ni Muislamu mmoja kupambana na makafiri 10.

"Ewe Mtume (wa Mwenyezi Mungu)! Wahimize walioamini wende vitani. Wakipatikana kwenu watu ishirini wanaosubiri watashinda mia mbili (katika hao makafiri. Basi nyinyi watashinda mia mbili (katika hao makafiri. Basi nyinyi mikiwa ishirini lazima msimame mupigane na watu miteni). Na kama wakiwa watu mia moja kwenu watashinda elfu moja ya wale waliokufuru, maana hao ni watu wasiofahamu (uhai wa Akhera, basi wanaogopa kupigana kwa ushujaa sana wasije wakafa. Basi watu mia katika nyinyi wasiwakimbie watu elfu katika wao).

Hadi sasa ni Waislamu wa Lebanon pekee walioonesha kuwaunga mkono kwa vitendo Waislamu wa Chechnya kwa kuushambulia ubalozi wa Russia mjini Beirut.


Mfuko kwa ajili ya Waislamu Chechnya

AL-Rasheed Trust, inakusanya sadaqa, zaka na misaada mbalimbali kutoka kwa waumini duniani kote ili kuwasaidia wapiganaji na wahanga wa vita Chechnya na Afghanistan.

Hivi sasa kuna maelfu ya wajane na mayatima wanaohitaji misaada ya hali na mali kutoka kwa ndugu zao katika imani duniani kote.

Al-Rasheed inakusanya misaada na zaka za waumini ili:

Kuipeleka moja kwa moja kwa familia zilizoathirika, wajane na mayatima walioachwa na mashahidi waliokufa vitani.

Kununua madawa na vifaa kwa ajili ya kuwatibia waliojeruhiwa.

Kuwasaidia wote wenye kuhitaji misaada.

Kupambana na njama za maadui wa Uislamu katika uwanja wa habari na mawasiliano.

Waislamu kote duniani wanawajibika kuwasaidia ndugu zao wa Chechnya na Afghanistan.

Tuma msaada wako kupitia:

Al-Rashiid Trust
Opposite Darul-Iftawal Irshad
Nazimabad No. 4, Karachi
Post Code 74600
Pakistan

Simu: 6683301
Fax: 6623814

Al Rasheed Account No. 4245774
Dollar Account No. 0550 17-41
Pound Account No. 065001-38
Habib Bank Ltd Foreign Exchange,
Habib Square, Karachi, Pakistan.

--
JuuRUDI



 


Bonyeza hapa
kushriki mjadala au kutoa maoni juu ya habari hizi na masuala mengineyo ya Kiislamu kwenye Baraza ya Wasomaji


   Kutoa maoni yako kuhusu ukarasa huu: Bonyeza hapa
Au
Andika barua  kwa: webmaster@islamtz.org


An-nuur Home | Ukurasa wa Mwanzo | Islam Tanzania
Links | Matoleo Yaliyopita | Sign our Guestbook