AN-NUUR
Gazeti la Kiislamu la kila wiki - Tanzania
Toleo la Internet


Kufuatia Rais Mkapa kupuuza malalamiko yao:

Waislamu kuamua hatima yao

MAELFU ya Waislamu wanatazamiwa kuhudhuria Baraza la Idd Mosi litakalofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini.

Katika Baraza hilo ambalo huenda likawa la aina yake katika miaka ya karibuni, kutajadiliwa hatima ya Waislamu hapa nchini kufuatia majibu ya Rais Mkapa kuhusu malalamiko yao.

Ili kulifanikisha Baraza hilo lililoandaliwa na Halmashauri Kuu ya Waislamu, viongozi wa jumuiya zote wameafikiana kutokuwa na Baraza au hafla nyingine yoyote siku hiyo  Endelea...


To search in An-nuur:
Write a word or words in the space provided then press "Search". 



Bonyeza hapa
kushriki mjadala au kutoa maoni juu ya habari hizi na masuala mengineyo ya Kiislamu kwenye Baraza ya Wasomaji

   Kutoa maoni yako kuhusu ukarasa huu: Bonyeza hapa
Au
Andika barua  kwa: webmaster@islamtz.org

 
An-nuur Home | Ukurasa wa Mwanzo | Islam Tanzania
Links | Matoleo Yaliyopita | Sign our Guestbook

Gazeti hili huchapishwa na Islamic Propagation Centre, Box 55105, Dar es Salaam