AN-NUUR
Gazeti la Kiislamu la kila wiki - Tanzania
Toleo
la Internet
|
SAMAHANI
Tunapenda kuwaomba radhi wasomaji wetu
watukufu kwa kukatika mfululizo wa matoleo ya Gazeti hili katika wiki chache
zilizopita. Hii ilitokana na matatizo ya kiufundi ambayo hayakuweza kuepukika.
Juhudi zinafanywa ili matoleo yajayo ya An-nuur yaweze kutoka katika mtandao
bila kuchelewa, In-sha' Allah.
webmaster
|
CCM
yajinyonga yenyewe
-
Yawagawa wananchi
-
Yakiuka maadili
MAJIBU ya Rais na matamshi ya kashfa ya baadhi
ya viongozi wa CCM dhidi ya Waislamu yamezidisha chuki ya waumini hao kwa
chama tawala.
Hali hiyo ilidhihirika Jumamosi iliyopita
katika Baraza la Idd lililofanyika Msikiti wa Sinza Jijini ambapo maelfu
ya Waislamu walitoa maneno ya kukilaani chama hicho na viongozi wake.
Ilikuwa kila ilipotajwa CCM au viongozi wake
matamko ya laana yalifuatia. Endelea...
Kitabu kipya cha Kompyuta kwa
Kiswahili
Bonyeza hapa
kwa maelezo zaidi
Soma NASAHA,
Gazeti jipya kwenye mtandao...
To search in An-nuur:
Write a word or words in the space provided then press "Search".
Bonyeza hapa
kushriki mjadala au kutoa maoni juu ya habari hizi na
masuala mengineyo ya Kiislamu kwenye Baraza
ya Wasomaji
Kutoa maoni yako kuhusu ukarasa
huu: Bonyeza hapa
Au
Andika barua kwa: webmaster@islamtz.org
Gazeti hili huchapishwa na Islamic Propagation
Centre, Box 55105, Dar es Salaam