AN-NUUR
Gazeti la Kiislamu la kila wiki - Tanzania
Toleo la Internet


Ni vigumu kuamini Kamanda Upelelezi Moro ataka:
Wachapishaji Qur'an wafikishwe mahakamani

HUENDA ikawa vigumu kuaminika, lakini ndivyo ilivyotokea, Mkuu wa polisi upepelezi mkoa wa Morogoro(RCO), Steven Ngowi ametaka walioandika Qur'an, wachapishaji na wauzaji wake wakamatwe na kufikishwa makamani. Amedai hatua hiyo inachukuliwa kwa kuwa kitabu hicho kinakashifu imani za wengine.

Afisa huyo aliyasema hayo wiki iliyopita wakati akitoa ushahidi katika mahakama ya hakimu mkazi mjini hapa katika kesi ya kufanya mhadhara bila ya kibali inayowakabili wahubiri wa kikundi cha ALMALLID tawi la Morogoro. Endelea...
 
 

Shule ya Muslim wapewa Walokole?

IMEELEZWA kuwa iliyokuwa shule ya Muslim Moshi wamepewa dhehebu la Kilokole wafanye shule binafsi ya msingi.

Dhehebu hilo imedaiwa limepatiwa misaada toka mashirika ya Kikristo ya Sweden.

Mwenyekiti wa Kamati inayofuatilia mgogoro wa shule hiyo, Bw. Ansaar, amesema wasemaji wa shule wamekuwa wakikwepa kusema lolote juu ya kuporwa shule ya Mwenge. Endelea..
 


USIKOSE!!
Kitabu kipya cha Kompyuta kwa Kiswahili
Bonyeza hapa kwa maelezo zaidi

Soma NASAHA, Gazeti jipya kwenye mtandao...

To search in An-nuur:
Write a word or words in the space provided then press "Search". 



Bonyeza hapa
kushriki mjadala au kutoa maoni juu ya habari hizi na masuala mengineyo ya Kiislamu kwenye Baraza ya Wasomaji

   Kutoa maoni yako kuhusu ukarasa huu: Bonyeza hapa
Au
Andika barua  kwa: webmaster@islamtz.org


An-nuur Home | Ukurasa wa Mwanzo | Islam Tanzania
Links | Matoleo Yaliyopita | Sign our Guestbook

Gazeti hili huchapishwa na Islamic Propagation Centre, Box 55105, Dar es Salaam