Shaheed Abu Ubaidah Al-yemen
JINA lake halisi ni Zaki Muhammed Uthman; kutoka Yemen.Ana umri wa miaka 26 na alikuwa ameoa.
Abu Ubaidah alipata ushaheed Februari 15,2000 katika mji wa Khartoni kusini ya Chechnya.
Mwaka 1995 Abu Ubaidah alishiriki Jihad huko Bosnia akitumia jina la Abu Ayman Al-Yemen. Alishiriki operesheni muujiza [operation miracle] Julai 21, 1995 na operesheni Badri ya Bosnia [operation Badr of Bosnia] Septemba 1995.
Baada ya vita vya Bosnia alirejea Yemen na kuendelea na masomo. Aliposikia ndugu zake wanauliwa huko Chechnya, aliacha masomo na kuelekea Chechnya.
Alipangwa katika batalian iliyokuwa Serzen-Yurt.
Siku aliyopata ushaheed alikuwa amepangwa
na wenzake kwenda kuyakabili majeshi ya Urusi eneo la Khartoni. Baada ya
mapambano makali ya kutwa nzima, Warusi walirejea nyuma wakiwa wamepoteza
wakumi ya askari. Zaki alikuwa akiwarejesha majeruhi kambini, ambapo gari
lake lilishambuliwa ghafla. Mungu amrehemu.
Shaheed Khallad Al-Madani
Yeye ni Msaudia kutoka Madina na jina lake halisi ni Muhammad Muhsin bin Al-Haj. Umri wake ni miaka 28. Alipata ushaheed Februari 28, kambi yao iliposhambuliwa kwa mabomu na ndege za adui. Ameaacha mjane na binti.
Ilikuwa ni Jihad yake ya kwanza kushiriki na alikuwa chini ya
Kamanda Abu Jafar Al-Yemen.
Kabla ya kuuliwa shaheed Khallad aliandika ujumbe ambao alimwomba mwenzake usomwe siku ya maziko yake lau angeupata ushaheed. Ujumbe huo unasema; Bismillahir Rahmaanir Rahiim, Sifa zote njema anastahiki Allah. Allah ndiye Mlezi wetu na anayetoa hadhi ya juu kabisa kwa Mujahideen. Anamchagua amtakaye kumpa ushaheed; ambao ni ushindi na kufaulu kukubwa.
Japo naandika, ujumbe huu, sina hakika kuwa nitaruzukiwa ushaheed. Nikiikosa fursa hii adhimu nitachana karatasi yenye ujumbe huu baada ya jihaad.
Namwomba Allah aniruzuku shahaadah. Nawausia ndugu zangu mniombee Allah anitakabalie shahadah yangu.
Nawaomba ndugu zangu mnisamehe kwa makosa yangu niliyowakosea.
TOKA wapiganaji wa Chechnya watoke katika mji wa Grozny, zimekuwepo taarifa kuwa vita vimekwisha .
Kamanda wa majeshi ya waislam anasema,vita bado mbichi kabisa.Ila wamebadili mbinu. Sasa wanaendesha vita vya msituni.
Taarifa za mwisho kuingia kwenye mtandao wa interneti inaonyesha hali ya vita kama ifuatavyo:
Machi 27,2000 Mujahideen walitoa taarifa kuwa askari wake wawili walikamatwa na adui. Mujahideen hao ni Abu Al-Sheshani na Abu Al Junaid Al-Iraqi.
Ripoti za Mujahideen zinaeleza kuwa kikosi maalum cha polisi wa Urusi kijulikanacho kama OMON kimeasi na kuikimbia Chechnya
Walipohojiwa kwanini wanakimbia Chechnya walisema "Many of us are dying in Chechnya in return of nothing;""yaani wengi wetu wanakufa Chenchya bure.
Machi 24 walifanya madhambulizi kadhaa ya kustukizia katika maeneo yaKhreshloy na Shatoi. Zaidi ya askari 54 wa Urusi waliuawa.
Machi 22, 2000 msafara wa platurni ya polisi maalum wa Urusi [OMON] ulivamiwa ghafla katika kijiji cha Novi Grozny nje kidogo ya Gudermes. Askari 52 wa Urusi waliuawa na magari yote matatu ya kivita kuharibiwa.
Iliripotiwa vile vile kuwa vikosi vya Urusi vilipambana vyenyewe kwa vyenyewe katika kijiji cha Saljee karibu na mpaka wa Chechen na Dagestan. Helkopta na ndege zalitumika ambapo makumi ya Warusi walijiangamiza wenyewe.
Ripoti za Machi18, zinaeleza kuwa, wiki mbili nyuma, Mujahideen chini ya kamanda Qalayev walifanya shambulio dhidi ya askari waUrusi katika moja ya milima ya Chechnya ambapo askari wengi wa Urusi waliuliwa.
Hata hivyo Mujahideen wakazingirwa na kikosi kikubwa chaUrusi katika kijiji cha Saadi-Khutor, Warusi wenyewe wanakiita Komsomolskoye.
Lengo likiwa ni kuwaangamiza Mujahideen waliowazingira, Askari wa Urusi walikishambulia kwanza mfululizo kwa ndege za kivita na helkopta. Kisha wakaingia wakiwa na jeshi kubwa. Vyombo vya habari vilianza kutangaza ushindi hata kabla mapambano hayajaanza.
Lakini kwa kile ambacho Warusi hawakielewi mpaka leo, kundi dogo la Mujahideen waliozingirwa, lilikiangamiza kikosi hicho. Warusi waliosalia wakarejea nyuma kuomba nguvu mpya. Haikusaidia, waliotumwa mara ya pili na ya tatu nao waliangamizwa.
Machi 18, Mujahideen walitoa taarifa ya kukamatwa kwa kamanda Salman Raduyev. Raduyev alikuwa amepata majeraha kichwani na alikuwa anataka kuingia Ingushetia katika matibabu.
Wakati anakaribia kuvuka mpaka wanafiki - Chechen - Mafia wanaowafanyia kazi Warusi walimtambua wakawaeleza Warusi. Alikamatwa na kupelekwa Moscow.
Urusi katika kupiga propaganda ilidai kuwa ilimkamata Salman Raduyev baada yakikosi chake maalum kupambana na kuwazidi nguvu walinzi 100 wa Bw. Raduyev.
Machi 9, Majahideen walivamia kikosi cha Urusi katika maporomoko ya Vedeno - Shatoi. Kikosi hicho kilikuwa kinakwenda kuwapokea wenzao waliokuwa zamu. Katika shambulio hilo Warusi 22 waliuliwa.
Machi 5, Mujahideen walishambulia kikosi cha Urusi katika milima ya Shamtoi. Askari zaidi ya 100 wa Urusi waliuliwa, wengi kujeruhiwa na magari mengi ya kivita kuangamizwa. Mujahideen sita walipata shahada na saba kujeruhiwa.
Machi 2, Mujahideen walifanya shambulizi la kustukiza dhidi ya kikosi maalum cha jeshi laUrusi.
Kikosi hicho kilikuwa kinatoka Gronzy kwenda Argun kuchukua zamu. Ghafla kilivamiwa na askari zaidi ya 175 kuuliwa. Baadae helikopta za Urusi zilionekana zikibeba maiti. Hakuna Muhajideen aliyeuliwa.
Alfajiri ya Machi 1, Muhajideen walishambulia kambi mbili za Warusi katika milima ya Shatoi na Vedeno. Askari wa Kirusi 135 na silaha nyingi kutekwa mashaheed 15 walipatikana wakiwemo Abu Thabit na Abdus-Samad.
Kati ya Februari 23 na 27 Mujahideen waliangamiza magari matatu ya kivita na kuua askari wote waliokuwepo.
Kutokana na kuchanganyikiwa vikosi vya Urusi bila kujuana vilirushiana makombora ambapo askari 31 waliuliwa.
Feb.22,majeshi ya Urusi yalishambulia kijiji
cha Khorsny. Mujahideen walijibu mashambulizi ambapo askari wengi wa Urusi
waliuliwa, helkopta na magari yakivita kuharibiwa.
--
![]()
|
Links | Matoleo Yaliyopita | Sign our Guestbook |