AN-NUUR
Gazeti la Kiislamu la kila wiki - Tanzania
Toleo
la Internet
Rais Mkapa kupewa salamu za Muharam
Pumbao la kisiasa lililokuwa limewazuga Waislamu
kuwa dini ni mbali na siasa ukurasa wake unatazamiwa kufungwa, Uislamu
kama Endelea...
Kuporwa
kwa shule ya Moshi Muslim:
Manispaa yazua uzushi
UZUSHI hauwezi kuinasua CCM kutokana
na kitanzi ilichojitia shingoni.
Hayo yamesemwa na waumini kadhaa mjini Moshi kufuatia propaganda inayopigwa dhidi ya juhudi za kuihami shule ya msingi Mwenge.
"Wamezoea kutudhulumu kisha walete visingizio. Mwembechai waliua, wakasingizia Balozi za nje, wakamtia kilema Chuki Athumani wakamsingizia kuwa na makaratasi ya uchochezi, sasa wanapora shule yetu wanasingizia Cuf" amesema Bw. Shuayb Msechu. Endelea..
|
Links | Matoleo Yaliyopita | Sign our Guestbook |
Gazeti hili huchapishwa na Islamic Propagation Centre, Box 55105, Dar es Salaam