AN-NUUR
Gazeti la Kiislamu la kila wiki - Tanzania
Toleo
la Internet
Msamaha wa deni ulaghai
Hivyo kauli kwamba, iutumie msamaha huo kuboresha hali za wananchi ni za kupotosha na kuichonganisha serikali na wananchi.
Hayo yameelezwa na mtaalamu mmoja wa mambo
ya benki na masuala ya fedha ya Kimataifa. Endelea..
Udini utakwamisha demokrasia nchini
NIMESOMA orodha ya waratibu wa uchaguzi na wasimamizi iliyotolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi na kuchapishwa na gazeti hili toleo lililopita. Orodha hiyo ilimshtua kila aliyeifuatilia, kwani si tu kwamba ilionesha ubaguzi wa kidini uliokithiri katika sekta mbalimbali za serikali bali pia ulionesha kudumaza misingi ya demokrasia.
Pamoja na kuwa na athari mbaya hasa kwa Waislamu, lakini pia orodha hiyo ni ushahidi wa kisayansi unaotafutwa na Mheshimiwa Rais Mkapa ili kuwashughulikia wanaofanya kazi za serikali kwa upendeleo wa kidini. Tutashindwa kuamini kauli ya Mheshimiwa Rais aliyoitoa Januari 19, 1999 pale Diamond Jubilee alipopewa malalamiko ya Waislamu likiwemo la kubaguliwa katika idara mbalimbali za serikali. Endelea... [Pia soma Barua ya wazi kwa Raisi Mkapa]
|
Links | Matoleo Yaliyopita | Sign our Guestbook |
Gazeti hili huchapishwa na Islamic Propagation Centre, Box 55105, Dar es Salaam