AN-NUUR
Gazeti la Kiislamu la kila wiki - Tanzania
Toleo
la Internet
Uchaguzi Oktoba baadhi
ya wananchi wasema:
CCM isichume isichopanda
-
Amani na utulivu sio turufu tena
-
Nyerere Mzanaki asingepokelewa Zaramoni
-
CCM imetakiwa isitake kuchuma isichopanda
ili kudumu madarakani.
Imeambiwa kuwepo kwa amani, utulivu na kukosekana
chuki za kikabila, si zao la juhudi za mwanasiasa yoyote au Chama.
Wakijadili hali ya uchaguzi mkuu mwaka huu,
baadhi ya wananchi waliokuwa wakielekea Moshi wamesema, propaganda ya amani,
utulivu na kuondoa ukabila imechuja.
"TAA ilijaa watu wa makabila tofauti; Nyerere
Mzanaki alipokelewa na Wazaramo. Huo ukabila uliondolewa na Nyerere na
CCM ni upi". Endelea...
Waislamu
wapinga wasimamizi wa uchaguzi
SIKU chache baada ya Amir wa Shura ya Maimamu,
Sheikh Juma Mbukuzi kuwataka Waislamu wapinge uteuzi wa wasimamizi wa uchaguzi
kwa kuwa haukuzingatia uwiano wa kidini, waumini wa Misikiti mbalimbali
jijini wameungana na kiongozi huyo kushutumu uteuzi huo.
Wakizungumza na mwandishi wa habari hizi juzi,
waumini wa Msikiti wa Ubungo Darajani wamesema, hawaafiki uteuzi huo na
wameonesha shaka kuwa huenda ni mpango wa siri unaotekeleza agenda ya Kanisa.
Endelea..
Toleo la wiki
iliyopita
Kitabu kipya cha Kompyuta kwa
Kiswahili
Bonyeza
hapa kwa maelezo zaidi
Soma NASAHA,
Gazeti jipya kwenye mtandao...
To search in An-nuur:
Write a word or words in the space provided then press "Search".
Bonyeza hapa
kushriki mjadala au kutoa maoni juu ya habari hizi na
masuala mengineyo ya Kiislamu kwenye Baraza
ya Wasomaji
Kutoa maoni yako kuhusu ukarasa
huu: Bonyeza hapa
Au
Andika barua kwa: webmaster@islamtz.org
Gazeti hili huchapishwa na Islamic Propagation
Centre, Box 55105, Dar es Salaam