Lipumba na Mkapa kuchuana Oktoba
Wenye ndevu, kofia wazuiwa kusafiri
Msiwe vikapu vya wengine kuvunia
Ripoti ya haki za binadamu yawa kimya kuhusu Mwembechai
Maimamu Masjid Hijaaz, Kadiria Mgaza waitwa polisi kuhojiwa
Serikali ikikosea itasemwa - Waumini
RAIS mpya wa Russia, Vladmir Putin amezitahadharisha nchi za magharibi juu ya Uislamu na Waislamu
Nabii Mussa alianza na siasa kuwakabili watawala
Huku viongozi wakifanya kampeni, wananchi wanateseka
Maandalizi ya mkutano mkuu wa CCM kesho yapamba moto
Kamata kamata Mwanza yahamia CUF
Afya za wananchi hatarini Dodoma
Waamriwa wavue kofia waruhusiwe kudhamini
Mufti Bakwata afanya ziara mikoani