AN-NUUR
Gazeti la Kiislamu la kila wiki - Tanzania
Toleo la Internet


SAMAHANI
Tunapenda kuwaomba radhi wasomaji wetu watukufu kwa kukatika mfululizo wa matoleo ya Gazeti hili katika wiki chache zilizopita. Hii ilitokana na matatizo ya kiufundi ambayo hayakuweza kuepukika. Juhudi zinafanywa ili matoleo yajayo ya An-nuur yaweze kutoka katika mtandao bila kuchelewa, In-sha' Allah.
webmaster

Wakereketwa wa CCM wavunja kijiwe chao
Na Mwandishi Wetu

VIJANA kadhaa wamedai kuwekwa ndani na kufunguliwa kesi baada ya kuhama kutoka CCM.

Wamesema, awali walikuwa na 'kijiwe' chao kikiwa na bendera ya CCM lakini wakaamua wote kuingia CUF.

Kijiwe hicho kilikuwa katika makutano ya barabara za Madenge na Yombo.

Wamesema, badala ya kupandisha bendera ya CUF katika mlingoti wa zamani waliamua kuvunja kijiwe hicho wajengee kando kidogo. Wamedai walifanya hivyo kwa vile mlingoti wa awali ulikuwa karibu na nyaya za umeme Endelea...


USIKOSE!!
Kitabu kipya cha Kompyuta kwa Kiswahili
Bonyeza hapa kwa maelezo zaidi


Soma NASAHA, Gazeti jipya kwenye mtandao...

To search in An-nuur:
Write a word or words in the space provided then press "Search". 



Bonyeza hapa
kushriki mjadala au kutoa maoni juu ya habari hizi na masuala mengineyo ya Kiislamu kwenye Baraza ya Wasomaji

   Kutoa maoni yako kuhusu ukarasa huu: Bonyeza hapa
Au
Andika barua  kwa: webmaster@islamtz.org


An-nuur Home | Ukurasa wa Mwanzo | Islam Tanzania
Links | Matoleo Yaliyopita | Sign our Guestbook

Gazeti hili huchapishwa na Islamic Propagation Centre, Box 55105, Dar es Salaam