AN-NUUR
Gazeti la Kiislamu la kila wiki - Tanzania
Toleo
la Internet
|
|
Mufti awajia juu wasemao CCM isipewe kura Okt.
Ametoa tahadhari hiyo akizungumza na viongozi wa BAKWATA mkoani hapa katika ukumbi wa Rehema Hall, Bar & Guest House wiki iliyopita.
Amesema, mama mmoja huko Dodoma aliwahi kuwaambia Waislamu kura zote wasiipe CCM.
Sheikh Hemed amesema, kauli kama hiyo ni ya hatari.
Endelea...
Wenye upeo mdogo wasipewe uongozi
WASOMI wa Kiislamu nchini wametakiwa kutowaachia watu wenye upeo mdogo na fikra finyu nafasi za uongozi katika jamii.
Aidha, wamepewa changamoto kutumia akili kuikomboa
nchi toka katika dimbi la umaskini, maradhi na ujinga.Hali ambayo imeelezwa
kuifanya jamii iishi chini ya nidhamu ya woga ikigubikwa na dhulma iliyopea
mipaka. Endelea...
|
Links | Matoleo Yaliyopita | Sign our Guestbook |
Gazeti hili huchapishwa na Islamic Propagation Centre, Box 55105, Dar es Salaam