AN-NUUR
Gazeti la Kiislamu la kila wiki - Tanzania
Toleo
la Internet
|
|
|
Uchaguzi
Mkuu, Baraza Kuu lasema:
Uteuzi wa Waratibu wa uchaguzi
utenguliwe
IMEELEZWA Wasimamizi na Waratibu wa uchaguzi, hawana uwakilishi wa watu wote.
Baraza Kuu la Jumuiya na Taasisi za Kiislamu liemeyaeleza hayo katika waraka wake kwenda kwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi, Jaji Lewis Makame.
Waraka huo Na. BK/GC/B16/161/2000 umenakiliwa kwa Mhe. Rais,Waziri Mkuu na Maimamu wote nchini.
Imedaiwa kuwa, uteuzi huo unadhamiri za makusudi
za kuendeleza ubaguzi.
Endelea...
Mufti wa BAKWATA akacha kuhutubia waumini Mwanza
Pamoja na kuombwa na waumini ahutubie
ANNUUR
imefahamishwa kuwa Mufti alikataa kwa madai kuwa alikuwa akiwahi Ndege
ya kuelekea Mwanza. Endelea...
|
Links | Matoleo Yaliyopita | Sign our Guestbook |
Gazeti hili huchapishwa na Islamic Propagation Centre, Box 55105, Dar es Salaam