AN-NUUR
Gazeti la Kiislamu la kila wiki - Tanzania
Toleo
la Internet
|
|
|
Polisi watuhumiwa kuchochea mapigano, Wakristo na Waislamu
POLISI Jijini imetuhumiwa kuchochea mfarakano
uliosababisha mapigano baina ya waumini makaburini Manzese Uzuri.
Mapigano hayo yalitokea Jumamosi baada ya waumini wa dini za Kiislamu na kikristu kutokukubaliana katika suala la mazishi ya mkristo eneo linalomilikwa na Msikiti.
Imeelezwa kuwa vurugu hilo lilitokea baada ya polisi kuamrisha wafiwa wamzike jamaa yao mahali hapo kinyume na ridhaa ya wahusika. Endelea...
|
Links | Matoleo Yaliyopita | Sign our Guestbook |
Gazeti hili huchapishwa na Islamic Propagation Centre, Box 55105, Dar es Salaam