AN-NUUR
Gazeti la Kiislamu la kila wiki - Tanzania
Toleo
la Internet
|
|
|
Auawa kikatili rumande
MTU mmoja ajulikanaye kwa jina la Alhaj
Swedi Mchombe amekufa mikononi mwa askari Magereza katika mazingira ya
kutatanisha.
Kibali cha mazishi No. 0826033 kutoka Hospitali ya Mawenzi kilichotolewa Julai 8, kimedai sababu za kifo ni kifua kikuu na ukimwi (TB na CD4).
Hata hivyo, maiti ya marehemu Swedi inaonyesha alipigwa sana kichwani na kunyongwa shingo.. Endelea...
|
Links | Matoleo Yaliyopita | Sign our Guestbook |
Gazeti hili huchapishwa na Islamic Propagation Centre, Box 55105, Dar es Salaam