AN-NUUR
Gazeti la Kiislamu la kila wiki - Tanzania
Toleo la Internet

Toleo la Ijumaa
 Toleo la Jumanne

Serikali ipige marufuku dhulma sio kitabu

WANANCHI mbalimbali walioongea na gazeti hili wameitaka serikali ishughulike na kuondoa dhulma, sio kuficha ukweli.

"Mh. Rais alidai kuwa hakuna mwananchi anayeonewa wala kubaguliwa kutokana na dini yake, akataka apewe ushahidi kama upo. Mbona sasa anaukataa ushahidi hata kule kusomwa tu?" amehoji Bw. Abubakar wa Magomeni.

Akiongea na mwandishi wa habari hizi jana, Bw. Abubakar amesema, Waislamu wanaituhumu serikali kwa uonevu na dhulma. Na kwamba kitabu juu ya mauaji ya Mwembechai ni miongoni mwa vielelezo vya ushahidi. Endelea...

[Kitabu kilichopigwa marufuku kinapatikana katika mtanadao wa kompyuta.
Ukitaka kusoma, kwa kubeba jukumu lako mwenyewe, bonyeza hapa.]
---- webmaster.


Soma NASAHA, Gazeti jipya kwenye mtandao...

To search in An-nuur:
Write a word or words in the space provided then press "Search". 



Bonyeza hapa
kushriki mjadala au kutoa maoni juu ya habari hizi na masuala mengineyo ya Kiislamu kwenye Baraza ya Wasomaji

   Kutoa maoni yako kuhusu ukarasa huu: Bonyeza hapa
Au
Andika barua  kwa: webmaster@islamtz.org


An-nuur Home | Ukurasa wa Mwanzo | Islam Tanzania
Links | Matoleo Yaliyopita | Sign our Guestbook

Gazeti hili huchapishwa na Islamic Propagation Centre, Box 55105, Dar es Salaam