AN-NUUR
Gazeti la Kiislamu la kila wiki - Tanzania
Toleo
la Internet
Profesa
Lipumba azuiwa kufanya mkutano Kigoma
-
Polisi wamwagwa kudhibiti
-
Wananchi wapigwa butwaa
MWENYEKITI wa CUF Profesa Ibrahim Lipumba ambaye
yuko katika ziara ya kichama kanda za ziwa na magharibi ameamriwa kusitisha
ziara hizo mpaka muda wa kampeni utakapofikia.
Taarifa inayosemekana kutokea Tume ya uchaguzi
ilifikishwa na polisi kwa Mwenyekiti huyo wa CUF jana akiwa mkoani Kigoma
ambako ilikuwa afungue matawi ya chama chake na kuhutubia wananchi wa mkoa
huo
Endelea...
Soma NASAHA,
Gazeti jipya kwenye mtandao...
To search in An-nuur:
Write a word or words in the space provided then press "Search".
Bonyeza hapa
kushriki mjadala au kutoa maoni juu ya habari hizi na
masuala mengineyo ya Kiislamu kwenye Baraza
ya Wasomaji
Kutoa maoni yako kuhusu ukarasa
huu: Bonyeza hapa
Au
Andika barua kwa: webmaster@islamtz.org
Gazeti hili huchapishwa na Islamic Propagation
Centre, Box 55105, Dar es Salaam