AN-NUUR
Gazeti la Kiislamu la kila wiki - Tanzania
Toleo
la Internet
|
|
|
Hakuna Wabara wanaochomewa nyumba Zanzibar -Prof. Lipumba
• Huo ni uchochezi
• Wanaodhibitiwa ni mamluki
Na Mwandishi Wetu
Mgombea urais kupitia chama cha CUF Prof. Ibrahim Lipumba,amesema, ,taarifa kuwa kuna watu wa bara wanaochomewa nyumba zao huko Zanzibar, ni propanda za kichochezi.
Amesema taarifa kama hizo, zinachochea uhasama na chuki kati ya watu wa Bara na Zanzibar ,jambo ambalo ni la hatari.
Akiongea na waandishi wa habari juzi,Prof. Lipumba amewataka waandishi wa habari kutozishabikia taarifa hizo bali wachukue tahadhari na kufanya uchunguzi kabla ya kuparamia habari kama hizo Endelea...
|
Links | Matoleo Yaliyopita | Sign our Guestbook |
Gazeti hili huchapishwa na Islamic Propagation Centre, Box 55105, Dar es Salaam