AN-NUUR
Gazeti la Kiislamu la kila wiki - Tanzania
Toleo
la Internet
|
|
|
Wazee Dar wamwombea Ujasiri Prof. Lipumba
"Ewe Mwenyezi mungu muepushie kila la shari kijana huyu. Muepushie na kila balaa.Mpe ujasiri na wape ujasiri wananchi", aliomba mzee mmoja kutoka Temeke.
Wazee hao walikuwa wamejazana katika ukumbi wa mikutano wa Starlight, asubuhi ya Jumamosi kuzungumza na Prof. Lipumba kabla ya uzinduzi wa kampeni za uchaguzi. Endelea...
|
Links | Matoleo Yaliyopita | Sign our Guestbook |
Gazeti hili huchapishwa na Islamic Propagation Centre, Box 55105, Dar es Salaam