AN-NUUR
Gazeti la Kiislamu la kila wiki - Tanzania
Toleo
la Internet
|
|
|
Mkimchagua Karume Zanzibar imekwenda
Maalim Seif Shariff Hamad ametoa nasaha hizo akidai kuwa, upo mpango wa kuifanya Zanibar mkoa kupitia kwa mgombea wa Urais Zanzibar kupitia CCM, Amani Abeid Karume.
Maalim Seif anayegombea Urais Zanzibar kupitia CUF, aliyasema hayo juzi akifungua kampeni za uchaguzi kwenye viwanja vya Malindi.
"Uchaguzi wa mwaka huu ni wa kuamua hatima ya Zanzibar", amesema Maalim Seif na kuonya kuwa, iwapo Wazanzibari watamchagua mgombea wa CCM atawapeleka kwenye serikali moja. Endelea...
|
Links | Matoleo Yaliyopita | Sign our Guestbook |
Gazeti hili huchapishwa na Islamic Propagation Centre, Box 55105, Dar es Salaam