MSAFARA wa magari yapatayo 200 juzi ulipigwa mawe
na kuwekewa vizuizi barabarani. Msafara huo ulikuwa ukielekea Makunduchi
katika mkutano wa kampeni wa CUF.
Wapiga mawe hao wanaodhaniwa kuwa wakereketwa
wa CCM walisababisha gari moja kupata ajali. Endelea...