ZIPO taarifa kwamba ipo kamati ya watu watano
ambao kazi yao ni kuleta farka na fitna kati ya wapiga kura na vyama vyao.
Aidha, kamati hiyo, habari zimedai kuwa inaandaa
mipango ya kuwazushia kesi baadhi ya wagombea kwa maslahi ya chama chao.
Katika hatua ya awali watu hao wameandaa 'jungu'
la kuwafitini Waislamu na Prof. Lipumba. Inasemekana wameghushi maandiko
wanayodai ni makubaliano ya CUF na Waislamu. Endelea...