Habari za kihisani toka kwa watu wema ambao hawakujitaja
majina yao zimetoa fununu zinazodai kuwepo kwa jasusi lililoandaliwa kwa
utaalamu maalum wa kuvuruga shughuli za Uislamu na Waislamu kwa kutumia
njia na mbinu mbali mbali.
Njia na mbinu hizo zimedaiwa kuwa ni pamoja na
kupandikiza vurugu na kuweka viongozi vibaraka katika taasisi za kiislamu
ikiwemo misikiti, kufitinisha na kufarakanisha makundi mbali mbali ya Waislamu
na kuwazushia kesi. Endelea...