AN-NUUR
Gazeti la Kiislamu la kila wiki - Tanzania
Toleo
la Internet
|
|
|
Wananchi
watathmini kampeni na kusema:
Lipumba
atashinda uchaguzi
Hayo yamesemwa na wananchi mbalimbali katika mikoa kadhaa nchini, wakati wakitoa maoni yao wakitathmini maendeleo wa kampeni za uchaguzi huo. Kampeni zinatarajiwa kumalizika Oktoba 28.
Wananchi hao wake kwa waume, vijana na wazee, wamesema katika maoni yao kwamba Prof. Lipumba ana nafasi kubwa ya kupata ushindi kwa kuwa ameweza kujieleza na kueleweka vyema na wananchi waliowengi ambao wamekuwa wakifuatilia kwa karibu na kwa makini kampeni za uchaguzi mkuu zinazoendelea nchini kote. Endelea...
|
Links | Matoleo Yaliyopita | Sign our Guestbook |
Gazeti hili huchapishwa na Islamic Propagation Centre, Box 55105, Dar es Salaam