MAMA Haruna ni mama wa mwanafunzi Said Ally anayesoma kidato cha tatu, Alharamain.
Said amefukuzwa shule kwa kukosa ada.
Maua anasema, mume wake kwa muda mrefu ni mgonjwa hawezi hata kutoka ndani.
Yeye Maua anawajibika kuiangalia familia kwa kuhangaika huko na huko.
Maua anaomba yeyote mwenye uwezo amlipie ada mwanae Said Ally aweze kukamilisha elimu yake ya sekondari.
Maua Haruna anapatikana Sinza Madukani, S.L.P. 6822, Dar es Salaam.
|
Links | Matoleo Yaliyopita | Sign our Guestbook |